top of page

Safety shoes/viatu vya usalama kazini vina chuma mbele kwa ajili ya kazi za viwandani, ujenzi, shughuli zinazohusisha vyuma na fundi umeme. Vinafaa pia kwa shughuli za Hiking na workshop za mbugani.

Vinasaidia miguu kupumua na kupata hewa ili kuepuka harufu mbaya za miguu.

Casual safety shoes - Usalama kazini, hiking, Chuma mbele

TSh 60,000.00Price
Quantity

    Related Products

    bottom of page