Wireless earbuds kwa matumizi ya kila siku, zina hybrid ANC na voice assistant support.
Jabra Elite 5 Earbuds
SKU: AUD-JBR-ELT5
TSh 218,000.00 Regular Price
TSh 174,400.00Sale Price
Ina hybrid Active Noise Cancelation na pia ina support voice assistant kama Alexa, na Google. Jabra Elite 5 imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji kifaa kinachozingatia umakini wa sauti, kustahimili matumizi mengi, kwenda na fashion na lifestyle, huku kikiwa kinapiga kazi kwelikweli.
Spika za 6mm na sauti inayobalansi
Ina Hybrid Noise Cancelation
Waterproof na kuzuia vumbi (IP55-rated)
Multipoint connection (inaunganisha vifaa viwili kwa wakati mmoja.)