Headset za uhakika kwa sauti clear na rahisi kutumia.
Jabra Talk 5 Headset
SKU: AUD-JBR-T5
TSh 95,000.00 Regular Price
TSh 76,000.00Sale Price
Headset za rahisi kutumia, za ukakika na zenye ufanisi — Jabra Talk 5 ni Headset za Bluetooth zisikukuwa na mambo mengi. Imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji sauti bora popote pale. Muundo wake wa ergonomic unahakikisha inakutosha na unaweza kuvaa siku nzima bila usumbufu.