top of page

Floor Washer, Floor Polishing Machine, Floor Scrubber
.
Mashine ya Kusafisha, kusugua na Kung’arisha Sakafu na Tarazo: haina kelele, Imara, Rahisi Kutumia
.
Mashine hii ya kisasa haina kelele. Ina mpini wa umbo la T unaorahisisha matumizi. Ina uwezo wa kusafisha mazulia na sakafu, kuondoa uchafu, kupaka wax, na kung’arisha sakafu kwa mwonekano mzuri na unaong’aa.
.
Inafaa kwa matumizi kwenye maduka makubwa, hoteli, hospitali, viwanda, viwanja vya ndege na hata majumbani. Husafisha kwa kina sakafu za marumaru, sementi, mbao na mawe, huondoa madoa magumu ya mafuta bila kuharibu sakafu, na hutoa usafi wa kiwango cha kitaalamu kwa muda mfupi. Rahisi kutumia na matokeo yake ni ya kitaalamu.

.

Inaondoa uchakavu wa sakafu, tiles, tarazo yako na kuifanya kuwa mpya tena.
.
Specs

  • Voltage: 220V-240V
  • Frequency: 50/60Hz
  • Power: 750W Noice: ≤60dba
  • Length of the cable: 12m
  • Brush diameter: 13 inch
  • Weight: 36kg
  • Rotation Mode: Planetary Gear Rotation

Professional Floor Polisher and Scrubber - Quite, Powerful, Easy to Use

SKU: VK-FPM-BT-750W
TSh 1,100,000.00 Regular Price
TSh 990,000.00Sale Price
Quantity

    Related Products

    bottom of page