Kuhusu Vitumark


"Ubora Unaoaminika"
Vitumark Shopping ni duka lako bora la bidhaa na elektroniki mtandaoni. Tunajivunia kuwa kampuni ya kitanzania yenye washirika kimataifa barani Ulaya na Asia. Tumebobea katika usambazaji wa bidhaa na teknolojia zenye ubora wa hali ya juu, ya viwango vya EU na kimataifa.
Leseni ya biashara na.: BL01860002024-2500004594
Kwanini Ununue Vitumark?
-
Viwango vya EU: Bidhaa zote zinaafiki viwango madhubuti vya usalama na ubora wa Ulaya.
-
Vitu Original Vilivyokaguliwa: Hakuna bidhaa ghushi.
-
Manunuzi Salama Mtandaoni: Malipo rahisi, na utumaji wa haraka mikoani kote.
-
Huduma Bora kwa Wateja: Tuko hapa unapohitaji usaidizi.
Dhamira Yetu
Kuleta bidhaa na teknolojia zenye ubora wa hali ya juu, zilizoidhinishwa kwa viwango vya kimataifa ili kumfikia kila Mtanzania—bila usumbufu au bei ya juu.
Viwango vya Bidhaa vya EU ni nini?
Viwango vya EU ni mfumo wa uhakiki unaohakikisha kuwa bidhaa ni:
-
Salama na imara
-
Zinazingatia utunzaji wa mazingira
-
Zimetengenezwa kwa maadili
Ukinunua Vitumark, unapata bidhaa na teknolojia unayoweza kuiamini, iliyojaribiwa, kuthibitishwa na iko tayari kwa matumizi ya kila siku.
Anza Kununua Mtandaoni
Tumekurahisishia kufanya shopping mtandaoni. Peruzi bidhaa zetu na uijue tofauti ya Vitumark leo.