Hapana. Unaweza kufanya manunuzi bila kusajili akaunti. Kuunda akaunti ni hiari na kunaweza kukuletea manufaa kama vile kulipa kwa haraka na kufuatilia historia ya oda zako.
Ndio, tunaweza kukusaidia kuweka oda yako kwa kupitia whatsapp au simu iwapo utakutana na changamoto yoyote kwenye tovuti. Ila tunashauri oda zote kufanywa kupitia tovuti yetu ili kuhakikisha huduma unapata huduma bora.
Mara tu oda inapothibitishwa, huchakatwa mara moja. Hatuna mfumo wa kufuta au kubadilisha oda kwa sasa.