top of page

Alverde NATURKOSMETIK Hydro Peeling inafaa kwa ngozi iliyokauka. Fomula yake iliyo na dondoo ya aloe vera zao la kilimo hai, asidi ya hyaluronic, na mmea wa seaweed/mwani wenye madini mengi husafisha na kukupa rangi mpya. Chembe nzuri za kuexfoliate/kuchubua zilizotengenezwa kutoka kwa mbegu za zabibu zilizoimarishwa huondoa kwa upole ngozi ya seli zilizokufa na chembe za uchafu. Jinsi ya kutumia: Paka kwenye ngozi iliyolainishhwa na maji mara 1 hadi 2 kwa wiki. Massage polepole kwa mzunguko, kuepuka eneo la macho. Suuza na maji moto kiasi. Kwa huduma zaidi baada ya peeling, tunapendekeza alverde Cream Gel Hydro.

Hydro Face Peeling, 75 ml

SKU: PLN-ALVD
TZS 40,000.00Price
Quantity
    • Inasafisha na kuipa ngozi yako rangi mpya

    • Inatumia mmea wa seaweed (mwani) wenye madini

    • In chembe za mbegu za zabibu za kuexfoliate/kuipa upya ngozi yako

    • Huondoa seli za ngozi zilizokufa na uchafu kutoka kwenye ngozi

Utapenda hii pia

bottom of page