top of page

Zimaya Perfume - Serene and Luxurious: Manukato yaliyoundwa kwa umaridadi ambayo yanachanganya caramel, sweet vanila, na soft musk kwa matumizi ya kustarehesha na yenye intimate scent. Jinsi ya kutumia: Nyunyiza kwenye sehemu za mishipa kama vile vifundo vya mikono, shingo na nyuma ya masikio. Kwa harufu ya muda mrefu, weka kwenye ngozi yenye unyevu (moisturized). Epuka kusugua manukato kwenye ngozi ili kuhifadhi muundo wake.

Tiramisu Caramel for Unisex Eau De Parfum, 3.4 Fl. Oz

SKU: PFM-ZMY
TZS 160,000.00Price
Quantity
    • Zinatumika kwa Misimu Yote: Inafaa kwa mavazi ya kila siku, casual outings, au formal settings, ikikupa utanashati wa kisasa.

    • Umaridadi wa Muda Mrefu: Kwa utunzi uliochanganywa kwa ustadi, manukato haya yanakupa harafu nzuri inayodumu na inayokufanya ujiamini siku nzima.

Utapenda hii pia

bottom of page