Wireless earbuds zenye bass lenye nguvu na app ya equlization Jabra Sound+.
Jabra Elite 2 Earbuds
Furahia sauti na bass nzuri ukitumia Jabra Elite 2 Earbud. Inakupa masaa 7 ya muda wa betri (na hadi masaa 21 ukiwa na kipochi). Inakuja na app ya Jabra Sound+ yenye equalizer kukusaidia kufurahia muziki, maongezi ya simu, n.k, huku ukilinda afya ya masikio yako.
- Bass la nguvu na sauti angavu.
- Teknolojia ya mic 2.
- Betri hadi masaa 21 na kipochi-chaji.
- Equalizer na Jabra Sound+ App

























