Earbuds zenye teknolojia ya maikrofoni 4 kukupa usikivu mzuri wa muziki na maongezi ya simu.
Jabra Elite 3 Earbuds
SKU: AUD-JBR-ELT3
TSh 170,000.00 Regular Price
TSh 136,000.00Sale Price
Jabra Elite 3 inakupa earbuds bora kwa bei rafiki. Ina muundo wa kutenga kelele, na maikrofoni 4 zilizojengewa ndani. Zimeundwa kwa ajili ya wapenzi wa muziki na watu wenye shughuli nyingi.