Wireless earbuds kwa matumizi ya kila siku, zina hybrid ANC na voice assistant support.
Jabra Elite 5 Earbuds
Ina hybrid Active Noise Cancelation na pia ina support voice assistant kama Alexa, na Google. Jabra Elite 5 imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji kifaa kinachozingatia umakini wa sauti, kustahimili matumizi mengi, kwenda na fashion na lifestyle, huku kikiwa kinapiga kazi kwelikweli.
- Spika za 6mm na sauti inayobalansi
- Ina Hybrid Noise Cancelation
- Waterproof na kuzuia vumbi (IP55-rated)
- Multipoint connection (inaunganisha vifaa viwili kwa wakati mmoja.)
- In wireless charging