Furahiya mazoezi yako ukitumia Jabra ShakeGrip™ yenye waterproof
Jabra Elite 7 Active Earbuds
Maalum kwa wafanya mazoezi, Elite 7 active inatumia technolojia ya ShakeGrip™ kuhakikisha inafiti vizuri masikioni, bass la uhakika, na adaptive noise cancellation inayobadilika kuendana na mazingira ya kelele ulipo. Ikiwa kwenye mazoezi ya kukimbia, Gym, au mishe za kila siku, Earbuds hizi ndio mpango mzima.
- Adaptive ANC na HearThrough.
- Teknolojia ya mic 6.
- Betri inakaa hadi masaa 30 jumla.
- Voice Assistant (Alexa, Siri, Google)
- Waterproof na inastahimili jasho (IP57 Protection rate)
- Equalizer na Jabra Sound+ App