top of page

Headset za uhakika kwa sauti clear na rahisi kutumia. 

Jabra Talk 5 Headset

SKU: AUD-JBR-T5
TZS 95,000.00 Regular Price
TZS 76,000.00Sale Price
Quantity
  • Headset za rahisi kutumia, za ukakika na zenye ufanisi — Jabra Talk 5 ni Headset za Bluetooth zisikukuwa na mambo mengi. Imetengenezwa kwa ajili ya watumiaji wanaohitaji sauti bora popote pale. Muundo wake wa ergonomic unahakikisha inakutosha na unaweza kuvaa siku nzima bila usumbufu.

    • Sauti clear ya simu kwa mfumo wa kupunguza kelele

    • Betri hadi masaa 11 ya muda wa maongezi

    • Muundo rahisi kutumia

    • Salama kwa kuvaa kila siku

Utapenda hii pia

bottom of page