Simu ya Redmi 12 inakupa balance ya kipekee ya nguvu na ufanisi kutokana na processor yake ya MediaTek Helio G88, ambayo hutoa utendakazi wa uhakika na thabiti kila siku. Redmi 12 inakuja na storage ya juu ya 256GB, ambayo inaweza kuongezwa hadi 1TB.