Mono Bluetooth Headset zenye sauti ya HD na maisha marefu ya betri.
Talk 25 SE Headset
SKU: AUD-JBR-T25SE
TSh 218,000.00 Regular Price
TSh 174,000.00Sale Price
Jabra Talk 25 SE ni vifaa vya sauti maridadi vilivyoundwa kwa ajili ya mazungumzo muhimu yanayohitaji usikivu. Kwa sauti ya HD na mfumo wa kupunguza kelele nyingi, ni bora kwa mawasiliano ya simu za kibiashara na mawasiliano ya kila siku.
Sauti ya HD kwa usikivu mzuri wa simu
Masaa mengi ya muda wa maongezi
Mwongozo wa sauti kuhusu hali ya betri na connection