Panga kichaa hii ni mashine yenye nguvu ya 42CC 2-stroke (1.25kW) na tanki la mafuta la 1200ml. Inafaa kukata nyasi, magugu, na kusafisha shamba. Ukiwa na kishikio maalum, inaweza pia kutumika kuvuna mpunga. Nyepesi (8.5kg) na rahisi kutumia. Imetengenezwa kwa ubora wa kimataifa kuzingatia viwango vya Ujerumani.
Inakuja na:
- waya wa kukatia nyasi
- kisu duara kimoja / circular blade
Specifications:
- Engine: 42CC 2-Stroke, rated power 1.25kW
- Ujazo wa tank / Fuel Tank Capacity: 1200ml (Fuel ratio: Gasoline 25 : Two-cycle oil 1)
- Uzito / Gross/Net Weight: 8.5kg
- Pole Diameter: 26mm
top of page
SKU: VK-PKM-42CC
TSh 520,000.00Price
Related Products
bottom of page

























